ASANTE KWA ORDER YAKO!

✓

Asante kwa Kuagiza!

Tumepokea oda yako ya taa za Solar Flame. Tunakushukuru kwa kuchagua Tazglen!

Oda Yako Imepokelewa!

Tunafurahi kukusaidia kuifanya bustani yako iwe na mwonekano wa kuvutia usiku.

1 Subiri uthibitisho.
Timu yetu itawasiliana nawe kwa simu kuthibitisha oda yako.
2 Weka simu yako karibu.
Hakikisha namba uliyotumia kuagiza inapatikana.
3 Pokea oda yako.
Tafadhali hakikisha uko tayari kupokea mzigo wako na kulipa kulingana na utaratibu uliokubaliwa.

Tafadhali agiza kwa uhakika. Ikiwa umeweka oda, uwe tayari kupokea mzigo wako na kupokea simu yetu ya uthibitisho.

Asante kwa kutuamini. Tunatarajia kukuhudumia!
Tazglen — Mwanga wa Kuvutia Kila Usiku.